Breaking News

Interview: Fiesta Mwanza 2017, Mshiriki Chris Pallo Akihojiwa na Mwandishi wa Fleva Tv Moja kwa moja toka Gold Crest Mwanza

Msanii Chris Pallo akieleza mapungufu ya Majaji Tigo Fiesta Mwanza 2017 yeye kwa maoni yake anaona Majaji hawakutenda haki make hakuna mtu aliye ruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi na kuona kinachoendelea ndani kwa habari kamili Bonyeza Video hapo chini>>>>>>


No comments