Waasi wa CONGO Waua Askari Mmoja wa JWTZ
Askari wa jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) aliyefahamika kwa jina la Praivate Mussa Jumanne Muryery ameuawa kwa kupigwa risasi na kundi la waasi akiwa kwenye ulinzi wa Amani nchini DRC Congo.
Kwa mujibu wa taarifa ya (JWTZ) inasema kuwa askari wake huyo alifariki Septemba 17, 2017 na kufuatia shambulio hilo Umoja wa Mataifa umeunda bodi ya uchunguzi kuchunguza tukio hilo
No comments