Breaking News

Msanii Keystar watahadhalisha Man Fongo na Sholo Mwamba kukaza maana Kaja Kuchukua Ufalme.


Msanii wetu wa Wiki Toka Mwanza kwa Miondoko ya Singeli,  Msanii KeyStar Ameeleza jinsi alivyo jipanga kuwa mfalme mpya wa Sengeli Africa awataka Man Fongo na Sholo mwamba wajipange make ana kasi ya FARASI KUMJUA ZAIDI HUYU JAMAA ANA NYIMBO INAITWA MTAM_MTAM NA NYINGINEZO KIBAO..
MAHOJIANO NA MWANDISHI WETU TAZAMA VIDEO HAPO CHINI>>>>>>

No comments