VIDEO: Mahaba kama yote, Dogo Janja akiwa kwenye stage, shemeji kashindwa kuvumilia
Usiku wa kuamkia January 4, 2018 Dogo Janja alikuwa ni miongoni mwa wasanii walioungana na Barnaba kwenye usiku wa shukrani uliofanyika Life Club Mwenge DSM ambapo alipanda kwenye stage na kutoa burudani kwa mashabiki wake hali iliyomfanya ndugu wa mwanamke anayedaiwa kutoka naye kushindwa kuvumilia na kwenda kumtunza mahela.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.
No comments