BREAKING: Kamanda Muroto athibitisha kumkamata Mbunge wa CHADEMA Haonga
“Ni kweli tunamshikilia mbunge wa Mbozi Pascal Haonga kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mitandano na kwa sasa tunaendelea na uchunguzi kubaini ukweli”, ni maneno ya Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto baada ya kuulizwa na Mwandishi wa AyoTV.
No comments