Hashim Rungwe afichua zawadi aliyoiacha Dr.Reginal Mengi (+video)
on
Wakati shughuli za msiba zikiendelea nyumbani kwa marehemu Dr.Reginald Mengi watu mbalimbali wamefika nyumbani hapo wakiwemo viongozi wa kisiasa na kiserikali ambapo mmoja wao ni Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe.
Akiwa nyumbani kwa marehemu Rungwe amewaambia waandishi wa habari kuwa Dr. Mengi amefanya mambo mengi ikiwemo ya Kibiashara, hivyo taifa limepoteza mtu muhimu.
“I can, I mus, I will ni msemo wake mwenyewe alikuwa anasema na ametuachia kama zawadi,”amesema.
Hashim Rungwe afichua zawadi aliyoiacha Dr.Reginal Mengi (+video)
Reviewed by Mr Mapromo
on
May 02, 2019
Rating: 5
No comments