Mama Samia, Makamba, Diamond, Mo Dewji wamlilia Dr. Mengi
Tukiwa katika majonzi kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi kilichotokea leo May 2, 2019 watu mbalimbali wameendelea uonyesha walivyoguswa na msiba huo, hapa nimekuwekea alichoandika Makamu wa Rais, Mwigulu, Nchemba, Makamba, MO Dewji na Diamond Platnumz.
No comments