Golikipa Juma Kaseja kafanyiwa upasuaji
Inadaiwa kuwa golikipa wa KMC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Juma Kaseja amefanyiwa upasuaji wa goti usiku wa jana, baada ya kuwa na jeraha kwa wiki kadhaa.
Kaseja inaelezwa kuwa aliumia wakati alipokuwa katika majukumu ya timu ya taifa ila hakufanyiwa upasuaji mapema kutokana na Dr kuwa alimpangia tarehe maalum kufanya upasuaji huo.
TOP 10: MASTAA 10 WALIOINGIZA PESA NYINGI DUNIANI KUPITIA INSTAGRAM
No comments