Tamko rasmi la Serikali “Tarehe 31 tunafunga laini zote, watu wanaibiwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe ametoa msisitizo kwa Watu kusajili laini zao za simu kwa alama za vidole ili waepuke usumbufu wa kukatiwa Mawasiliano baada ya December 31 mwaka huu.
“Mkasajiliwe kwa alama ya vidole na kitambulisho cha NIDA, mimi sitoi vitambulisho vya NIDA, mimi kazi yangu ni kukata na kuna mazingira maalum kwanini nafanya hivyo, Watanzania wengi wanaibiwa sana kwa kutumia Mtu mmoja ana laini mpaka 100, jamani Tarehe 31”-Waziri Kamwelwe
No comments