Waziri Mhagama Atoa Maagizo Mazito Ujenzi Wa Kiwanda Cha Ngozi Karanga
Na Mwandishi Wetu, MAELEZO WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama amesema Serikali haijaridhika na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga katika Gereza la Karanga Mkoani Kilimananjaro na kumtaka mkandarasi kuikamlisha kazi hiyo kabla ya tarehe 2 Februari mwaka huu. Akikagua maendeleo...
No comments