Breaking News

Fanya fujo uone walivyozunguka Jiji la mbeya “Show off” (+video)


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limeimarisha ulinzi na Usalama katika kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu na kuwaondelea hofu wakazi wa jiji la Mbeya.
Jeshi hilo limepita katika Mitaa ya Jijini hapo ambayo ni maeneo korofi ili kufikisha ujumbe kwa njia ya vitendo ikiwa ni ishara ya uhimarishwaji wa ulinzi na Usalama kwa wakazi hao

No comments