VIDEO: MSHINDI WA BSS KAZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA
Meshaki Fukuta ndiye mshindi wa Bongo star search 2019 ambaye amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa mshindi na ameelezea furaha yake ikiwemo kutokukata tamaa kwa kushiriki zaidi ya mara moja kwenye mashindano haya na hatimaye meaja huu kaibuka mshindi.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO
No comments