Kuwait yamfukuza balozi wa Korea Kaskazini
Ripoti kutoka nchini Kuwait zinasema kuwa imemfukuza balozi wa Korea Kaskazini.
Hakuna
taarifa rasmi iliyotolewa lakini kuwait imewaambia waandishi wa habari
kuwa balozi wa Korea Kaskazini, amepewa mwezi mmoja kuondoka huku
wanadiplomaisa wa Korea Kaskazini wakipunguzwa.Kuwait ndiyo nchi pekee katika ghuba iliyo na ubalozi wa Korea Kaskazini.
- Mzozo wa Qatar na jirani zake
- Bei ya mafuta: Amir wa Kuwait avunja bunge
- Njiwa ashikwa na mfuko 'uliojaa mihadarati'
- Serikali yamnyonga mwanamfalme Kuwait
Hatua hiyo inachukuliwa wiki mbili baada ya kiongozi wa kuwait kuzuru Washington.
Marekani imetaka hatua za kimataifa kuchukuliwa dhidi ya Korea Kaskazini kufuatia mipango yake ya nyuklia.
No comments